Demu aliyenyanyuka kushangilia faulo ya Taifa Stars akidhani penati

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati.

Alikuwa amevaa jezi ya Tanzania. I say personally nilimuelewa sana Yule Dada na sikuwahi kuwaza kama Tz tuna watoto wakali kama Yule..

Walahi kama ningekuwa uwanjani Jana halafu nikajua uwepo wa mdada mrembo kama Yule ningekomaa nipige bao ili kumfurahisha mtoto mzuri kama Yule.

Kama kuna mdau anamjua Yule mdada plz let me know plz nimtafute .

Mtoto Mashaalaah.

Najua atakuwa anaishi Sauzi walahi ntachukua hata basi Dar Tunduma nivuke boda Nakonde nichukue basi to Lusaka then Lusaka Jo'burg ..
 
Angalau kuna kitu umeambulia wengine maumivu tu
Walahi ile mechi Mungu aliifanya iwe ili kunikutanisha na mdada Yule..Thanx God for what I saw yesterday.

Nitaendelea kuwa mwaminifu kwa Mungu Leo kesho hata mwisho wa dahari ili aendelee kunionyesha vitu vizuri kama nilicho kiona jana
 
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati.

Alikuwa amevaa jezi ya Tanzania. I say personally nilimuelewa sana Yule Dada na sikuwahi kuwaza kama Tz tuna watoto wakali kama Yule..

Walahi kama ningekuwa uwanjani Jana halafu nikajua uwepo wa mdada mrembo kama Yule ningekomaa nipige bao ili kumfurahisha mtoto mzuri kama Yule.

Kama kuna mdau anamjua Yule mdada plz let me know plz nimtafute .

Mtoto Mashaalaah.

Najua atakuwa anaishi Sauzi walahi ntachukua hata basi Dar Tunduma nivuke boda Nakonde nichukue basi to Lusaka then Lusaka Jo'burg ..
Mwee! Shida yote ya nini? C kuna waganga wenye uwezo wa kuvuta mpenzi aliye mbali?
 
Hapo anashangilia goli la ndani.
tapatalk_1542612617693.jpeg
 
Mkuu una uhakika gani kama huyu Demu ni mtanzania? kwakua alivaa jezi ya tz? kwakua alikua anaishangilia tz?

Kwahiyo siku ukiona Demu uwanjani kavaa jezi ya Brazil au England na anazishangilia hizo team tayari anakua ni raia wa nchi hizo?
 
Mwee! Shida yote ya nini? C kuna waganga wenye uwezo wa kuvuta mpenzi aliye mbali?
Uchawi wa mapenzi wanafanyaga wanawake.

Inatakiwa mwanamke aniroge Mimi mapenzi sio Mimi nimroge yeye mapenzi.

Mwanaume naroga kupata hela halafu hiyo hela itaniletea wanawake wazuri.

Mwanaume ukiingiwa na wazo la kumroga mwanamke mapenzi anza kuwa na wasiwasi na uanaume wako
 
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati.

Alikuwa amevaa jezi ya Tanzania. I say personally nilimuelewa sana Yule Dada na sikuwahi kuwaza kama Tz tuna watoto wakali kama Yule..

Walahi kama ningekuwa uwanjani Jana halafu nikajua uwepo wa mdada mrembo kama Yule ningekomaa nipige bao ili kumfurahisha mtoto mzuri kama Yule.

Kama kuna mdau anamjua Yule mdada plz let me know plz nimtafute .

Mtoto Mashaalaah.

Najua atakuwa anaishi Sauzi walahi ntachukua hata basi Dar Tunduma nivuke boda Nakonde nichukue basi to Lusaka then Lusaka Jo'burg ..
Huo ndiyo ugonjwa wetu, inawezekana na wachezaji akili yao ilikuwa kwa huyo.
 
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati.

Alikuwa amevaa jezi ya Tanzania. I say personally nilimuelewa sana Yule Dada na sikuwahi kuwaza kama Tz tuna watoto wakali kama Yule..

Walahi kama ningekuwa uwanjani Jana halafu nikajua uwepo wa mdada mrembo kama Yule ningekomaa nipige bao ili kumfurahisha mtoto mzuri kama Yule.

Kama kuna mdau anamjua Yule mdada plz let me know plz nimtafute .

Mtoto Mashaalaah.

Najua atakuwa anaishi Sauzi walahi ntachukua hata basi Dar Tunduma nivuke boda Nakonde nichukue basi to Lusaka then Lusaka Jo'burg ..
Mkuu unaamini hauoti?
 
U
Mkuu una uhakika gani kama huyu Demu ni mtanzania? kwakua alivaa jezi ya tz? kwakua alikua anaishangilia tz?

Kwahiyo siku ukiona Demu uwanjani kavaa jezi ya Brazil au England na anazishangilia hizo team tayari anakua ni raia wa nchi hizo?
Uwezi Ku,,,,NY,,a uwaro bila kula makande
...
 
Back
Top Bottom