TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kwa Mataifa ya Nje wanaoitazama Tanzania, Wakiona Kila baada ya Miaka mingine kuna sura mpya Wanadhani Tanzania kuna Demokrasia. Kilichopo Tanzania ni Kiini macho. Ni Mazingaumbwe ya hadaa ya Kutisha ya One Party Dictatorship.
Mazingira waliyojiwekea CCM ni ya hadaa kiasi kwamba Kwa Mfumo uliopo Wa Uchaguzi na Tume magirini Pupet ya Uchaguzi Ikibakia hivi hata kwa miaka Milioni, Bado Rais atakuwa ni CCM hata kama akipata kura yake na Mkewe tu!