Abdul Mluya
Member
- May 28, 2013
- 47
- 25
Pamoja na kuondokewa na mwenyekiti wetu kwa ajari yenye utata ,sisi tulio baki tutaendeleza harakati za Rev Mtikila pamoja na itikadi yake ya uwepo wa taifa la Tanganyika tunaamini ndio njia sahihi ya kumuenzi mwenyekiti wetu na walio amini kua chama kimekufa wamekosea Dp ipo na ita endelea kuwepo na misimamo yake .daima hatuta rudi nyuma kamwe
Saa ya ukombozi ni sasa
Uwepo wa katiba mpya na taifa la wana watanganyika na Zanzibar iliyo huru na mamlaka kamili ya nchi hizi mbiliDP: Nini Dira yake (Vision) hivi sasa
Bwn Mkinga alistahili kama akikubali apewe uanachama kisha apewe uenyikiti DP kwa mbali naona kama ana shabihiana na merehemu kuanzia wajihi.........Tuko kwenye mchakato wa kujaza nafasi ya mwenyekiti na tukisha kua tayari tutasema ila kwa sasa viongozi bado ni wale wale
je? mtashiriki uchaguzi wa marudio ZanzibarPamoja na kuondokewa na mwenyekiti wetu kwa ajaLi yenye utata, sisi tulio baki tutaendeleza harakati za Rev Mtikila pamoja na itikadi yake ya uwepo wa taifa la Tanganyika.
Tunaamini ndio njia sahihi ya kumuenzi mwenyekiti wetu na walio amini kuwa chama kimekufa wamekosea DP ipo na ita endelea kuwepo na misimamo yake.
Daima hatuta rudi nyuma kamwe Saa ya ukombozi ni sasa.
je? mtashiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar
Uwepo wa katiba mpya na taifa la wana watanganyika na Zanzibar iliyo huru na mamlaka kamili ya nchi hizi mbili
Dp haina tatizo na muungano wa vyama au chama chochote chenye malengo ya kuiondoa serikali ya ccm madarakani na ndio maana Dp ni sehemu ya waasisi wa Ukawa wakati wa bunge la katiba isipokua tu Dp ilitengwa na umoja huo bila taarifa yoyote ,kwa kua waliitana wao kwa wao bila kuishirikisha Dp na hatimae tukawa nje ya umoja huo si kwa kujitoa bari kwa kutengwa na wenzetu .Naam. Hata hivyo: Utengano (wengine huita utitiri) wa vyama pinzani ni kikwazo kikubwa. DP ina mtazamo gani kuhusu kuunganisha nguvu na vyama vingine?
Mkete mzalendo twende pamojaPamoja na kuondokewa na mwenyekiti wetu kwa ajaLi yenye utata, sisi tulio baki tutaendeleza harakati za Rev Mtikila pamoja na itikadi yake ya uwepo wa taifa la Tanganyika.
Tunaamini ndio njia sahihi ya kumuenzi mwenyekiti wetu na walio amini kuwa chama kimekufa wamekosea DP ipo na ita endelea kuwepo na misimamo yake.
Daima hatuta rudi nyuma kamwe Saa ya ukombozi ni sasa.
DP(W) mwenzenu toka Dubai amekuja kukoleza moto wa Tanganyika huru.Uwepo wa katiba mpya na taifa la wana watanganyika na Zanzibar iliyo huru na mamlaka kamili ya nchi hizi mbili