Leo utakuwa uliyeamka nae.. kakupa mapya mapya nini?..
Maana duh.. asubuhi asubuhi hii unawazia eeeeeh
[emoji31] [emoji31] [emoji38] [emoji38] kanipa yote[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Leo utakuwa uliyeamka nae.. kakupa mapya mapya nini?..
Maana duh.. asubuhi asubuhi hii unawazia eeeeeh
Coco....mambo?
[emoji31] [emoji31] [emoji38] [emoji38] kanipa yote[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa maneno ya huyu mlozi watoto wa kike mtakuwa mnapata tabu sana[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji323] [emoji322]ila mwambie apunguze utunduHahahaa. Ila Shem si kwa jigazeti hilo jamaani. Lol.
Na kwa hayo uliyoyadadavua hapo sio mbaya akapewa huo umiss Chit Chat kwa mwaka 2018.
Yupo juu mdogo wangu Chamdeko. Kila la kheri kwake.
Apewe tu kwani kajua kufunika. Japokuwa hawezi pendwa na wote hivyo na wale wapingaji pia uwategemee Shemela.[emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji323] [emoji322]
Nimeweka angalizo kabla LITAWASUTAApewe tu kwani kajua kufunika. Japokuwa hawezi pendwa na wote hivyo na wale wapingaji pia uwategemee Shemela.
Hawachelewi kusema kwa kuwa ni Sukari yako basi ndio sababu unaimwagia misifa. Teh teh.
Salama Ngabu
Ewaaaaaaaa. Bora ulijiongeza Shem.Nimeweka angalizo kabla LITAWASUTA
Hahahhaha morningLeo utakuwa uliyeamka nae.. kakupa mapya mapya nini?..
Maana duh.. asubuhi asubuhi hii unawazia eeeeeh
Hahaaaa. Kwako Utundu azidishe tu kwa kweli Shem [emoji85] [emoji85] ila kwa watu wengine nitamkalisha chini nimwambie, tena hata sio mbali kesho tu sababu nina mpango wa kuonana nae. [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji323] [emoji322]ila mwambie apunguze utundu
Hahahaha jaman usemi wangu huo umekwiba wapi mkuu?Hapa shuzi limepata mjambaji...
Nimemnukuu raia fulani