Mhhh kazi kweli kweli, siku zote usikubali mwanamke aku control hata siku moja, mwanamke akishaku control utajuta kuzaliwa, na wewe ulivyoanza nae ndio ulimzoesha hayo mambo ya vocha na kujifaanya una hela nyingi sana, sasa ndio faida yake, inabidi uwe mgumu baadhi ya sehemu sio kulegea na kuogopa kuachwa, shtuka kijana nakuwa open kwake mwambbie wewe mwenyewe hela unapewa na wazazi thats all. unaogopa kuumwambia ukweli, bora kuitwa mtoto wa mama kuliko kuka bila hela mfukoni