Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 222
Kwa kawaida inabidi tu u double click yafungue maana inabidi itambue extension za kila file so hata icone ya file iendane na prog husika.Naomba msaada katika Hilo maana Mimi mgeni katka kutumia kompyuta na nahitaji kuitumia katika Mambo ya shule lakini haifungui mafile muhimu Kama Excell, Microsoft word na mengne.kama nakosea kuyafungua ntumie njia gani pale inapoandika "open with"
Huwa kikawaida mafile ya excel na word hayafunguki mpaka uweke program ya microsoft office.Naomba msaada katika Hilo maana Mimi mgeni katka kutumia kompyuta na nahitaji kuitumia katika Mambo ya shule lakini haifungui mafile muhimu Kama Excell, Microsoft word na mengne.kama nakosea kuyafungua ntumie njia gani pale inapoandika "open with"
Nadhani kweli hili ndilo tatizo la mleta mada pc yake inakuwa inamiss MS office MkuuHuwa kikawaida mafile ya excel na word hayafunguki mpaka uweke program ya microsoft office.
Tuanzie hapa hiyo computer yako imeekwa microsoft office? Ukiwasha kwenye desktop unaona icon zilizoandikwa word, excel etc.
Hayo mafile ya word na excel yana icon kwa nyuma?
Kila nnpojaribu kuweka hiyo Microsoft office nashindwa maana nikidownload haifungungukiKwa kawaida inabidi tu u double click yafungue maana inabidi itambue extension za kila file so hata icone ya file iendane na prog husika.
Ila kama vipi right click chagua open with itakuletea progs zilizomo chagua program husika halafu tick sehemu ilipoandikwa always use the selected program to open this kind of file kisha piga ok.
Kumbe computer yako haina program ya office, haifunguki kiaje mkuu na umedownload hilo file lina mb au gb ngapiKila nnpojaribu kuweka hiyo Microsoft office nashindwa maana nikidownload haifungunguki
Utaalamu was kujua program ipi inafaa kufungua hayo mafile ndio SinaKwa kawaida inabidi tu u double click yafungue maana inabidi itambue extension za kila file so hata icone ya file iendane na prog husika.
Ila kama vipi right click chagua open with itakuletea progs zilizomo chagua program husika halafu tick sehemu ilipoandikwa always use the selected program to open this kind of file kisha piga ok.
Mkuu kama huna office program kwenye computer yako ni mpaka uweke otherwise hata ukiopen with ukafuata hizo njia huwezi kuikuta huko. Na ukiweka office mafile yako yatajiset automatically utaclick tu yafunguke kwenye prog husikaUtaalamu was kujua program ipi inafaa kufungua hayo mafile ndio Sina
Napataje hiyo Microsoft office kiongozMkuu kama huna office program kwenye computer yako ni mpaka uweke otherwise hata ukiopen with ukafuata hizo njia huwezi kuikuta huko. Na ukiweka office mafile yako yatajiset automatically utaclick tu yafunguke kwenye prog husika
Uko wapi kama uko dar niambie kesho nikuagze kwa dogo ukachukue bure tu buree kabsaNapataje hiyo Microsoft office kiongoz
Dah nipo dodoma kiongozi kupitia link ukinitumia siwezi fanikiwa?Uko wapi kama uko dar niambie kesho nikuagze kwa dogo ukachukue bure tu buree kabsa
Dah nipo dodoma kiongozi kupitia link ukinitumia siwezi fanikiwa?
Microsoft Office Professional Plus 2016 32 Bit Sep 2017 DownloadDah nipo dodoma kiongozi kupitia link ukinitumia siwezi fanikiwa?