ni laptop mpya na inarisit yake. nmetumia week moja tu nauza tsh 450,000. ina harddisk 320, ram 2gb, processor i3. kuna mambo nataka kutatua yamenibana. mnunuz anaweza nitumia pm. nipo iringa mjini.
natumia simu mkuu haina uwezo wa ku upload picha ila kama unahitaji waweza nitumia namba yako kwa PM then nikutumie picha whatsapp
Whatsapp unaweza ila jf huwezi!!!!huna shida wewe
natumia simu mkuu haina uwezo wa ku upload picha ila kama unahitaji waweza nitumia namba yako kwa PM then nikutumie picha whatsapp