Wadau hii computer imenitisha toka juzi nikiwasha ikisha load programs ina anza kunguruma kama mashine ya kusaga yaani kelele nyumba nzima! CPU fan inanguruma sanaa!Nikichomoa wire wa CPU fan ina tulia den ina heat mpaka inajizima! Fan mpya sh ngapi na wapi itapatikana?