ingia hapa <a href="http://support.dell.com/support/downloads/driverslist.aspx?os=WLH&catid=20&dateid=-1&impid=-1&osl=EN&typeid=-1&formatid=-1&servicetag=&SystemID=LATITUDE+D630&hidos=WW1&hidlang=en&TabIndex=&scanSupported=False&scanConsent=False" target="_blank">Drivers & Downloads</a> chagua windows unayo tumia download driver hii DELL_WIRELESS-5520-VODAFONE-_A07_R216764 baada ya hapo install chukua chip yako ya mordem kama ni tigo, voda au airtel weka kwenye sehemu inayokaa line nenda kwenye program ulio install fungua conect to internet hakikisha bluetooth iko on hiyo ndio mordem yako huna haja ya kuhangaika na mordem huo ndio ubora wa dell na hiyo iko powerfull kuliko mordem