Nisaidieni laptop yangu dell nashida! Haiwaki kabisa! Ilianza hivi, Hii laptop betri ilikufa kitambo nkawa naitumia direct kwenye umeme bado ikafanya kazi kwa miez kadhaa baada ya hapo ikashndwa kufnya kazi nkawa mpka nachomoa betri naunga kwenye umeme napgia kaz hvovho kwa miez kadhaa nako ikalemewa ndo ikawa haiwaki kabisa! Leo nmeweka betri mpya kwenye laptop nkaichaji kwa masaa kam 3 hv, kuiwasha laptop haiwak, Je naweza nkawa nimeua kfaa chochote kwenye laptop am shda nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app