Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,608
Sasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole
Pole
How stupid are you?Sasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole
Unapatikana wapi?Buy now and get a free Laptop Bag
Nletee mimi mama Deby...Sasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole
kuna utofauti upi mama deboSasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole
Sasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole
kuna utofauti upi mama debo
Nipo Dar mkuuUnapatikana wapi?
Kioo gani kimekufa??Nipunguzie kaka naona kioo kimekufa tunafanyaje ??
naona hujaweka hata mbwebwe kidogo kama hipo ONKioo gani kimekufa??
Ndo u assume kuwa kioo kimekufa? Thats very stupidnaona hujaweka hata mbwebwe kidogo kama hipo ON
Wauzie wewe PC za ssd tuone wangap watanunua....wewe mwenyewe u cant even afford itSasa hivi biashara yako inakuendea kombo kinoma baada ya mie kuwafumbua macho wateja kuhusu HDD vs SSD!!
Pole
am sorry brother nilijua kioo kibovuNdo u assume kuwa kioo kimekufa? Thats very stupid
Ingekua kioo kibovu ningeandika...Acha kukaririam sorry brother nilijua kioo kibovu
pamoja brotherIngekua kioo kibovu ningeandika...Acha kukariri
Nipunguzie bei mkuu... alafu inaonekana keyboard mbovu!Ingekua kioo kibovu ningeandika...Acha kukariri
am sorry brother nilijua kioo kibovu
Keep trying😂😂😂😂Nipunguzie bei mkuu... alafu inaonekana keyboard mbovu!