Dell kompyuta haitaki ku-boot | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dell kompyuta haitaki ku-boot

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Baba Mtu, Dec 21, 2010.

 1. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  SIFA:
  OS-win xp prof sp3
  RAM-500MB
  SPEED-1.9Gz, INTEL PROCESSOR
  HD-60GB
  BRAND-DELL optiplex gx 755

  Nikiwasha inaleta mwanga wa njano badala ya mwanga wa kijani katika power indicator ( AMBER YELLOW LIGHT INSTEAD OF GREEN LIGHT).
  Nimepitia katika forums tofauti na kufanya troubleshooting ili kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili lakini nimekosa utatuzi wake.
  Kama kuna mwenye ujuzi naomba msaada wa kutatua.

  Nilitembelea hapa:

  Documentation
  Documentation
  PC Hardware :: Computer Does Not Boot At All

  Na forums mbalimbali   
 2. WIRELESS

  WIRELESS Senior Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Just power ya pc, press F8 before boot up, then use arrow keys to scrol to the last known good cofiguration,

  Or you can simply repair it. all your saved document will be safe. hape u have all utilities (drivers)cd u purchased with your PC.
  All the best. if fail contact me same place, online 24/7
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hiyo nilishafanyaga siku nyingi tu, lakini tatizo bado lipo.
  Tatizo ni kwamba pc yenyewe haitaki kuboot. Ukiipa power badala ya kuboot yenyewe haiboot, power indicator light inakuwa ya njano badala ya kijani. Na wakati mwengine processor fan inavuma/inatoa ukelele.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Inawezekana tatizo ni hiyo button ya kuboot imekorofisha badala ya kuiwasha pc inaiweka kwenye sleeping mode
  Solution
  Jaribu kuifungua na ujaribu kuwasha moja kwa moja. kama una vifaa

  Inawezekana adaptor imepoteza nguvu ya kupitisha moto wa kutosha unahohitajika na laptop.
  Solution jaripu kutafuta power adaptor nyingine uone itakuwaje
   
 5. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,809
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Pole sana, nina maswali machache kabla sijachangia, 1. kwa mara ya mwisho uliizima kwa kufuata taratibu?, 2.ulisha fanya UPgrade ya Win? 3. imeshawahi funguliwa? 4.umesha wahi kuifanyia CMOS setup configuration? nijibu nitoe Mchango wangu
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  1. Ndiyo, niliizima kwa kufuata utaratibu
  2. Windows iko updated sababu pc iko connected na net siku zote.
  3. Ndiyo nshawahi kuifungua mara nyingi tu. Nilikuwa nafanya troubleshootings kwa ku-dismantle na ku-assemble kama nlivyokuwa nkishauriwa na dell supporters na members kutoka forums nyingine tofauti tofauti.
  4. Ndiyo, nlishawahi kuifanyia CMOS setup, nili-clear CMOS settings na nili-load default settings za BIOS.

  Troubleshooting ndogondogo (kama vile RAM, HD, PSU and PERIPHERALS changes) nilishazifanya zote. Lakini pc haitaki kuboot. Katika pitapita yangu katika forums na mitandao mengine nikakutana na mtandao mmoja ulioniambia kuwa dell za kuanzia mwaka 2006 kuja juu zina matatizo ya MOB na CPU. Kwa mujibu wa huo mtandao dell inakili kupokea na kutumia material fake kutoka kampuni ya FOXCOM katika kuunda pc zake.
  Nimekutana na kompyuta saba zenye tatizo kama hili, na zote ni za mwaka 2006 kuja juu. Mbaya zaidi pc hizi hazina support zaidi kutoka dell sababu zimetengenezwa nnje ya ulaya.
  Kati ya hizo pc 7, kuna moja nili-fumble nayo ikakubali kuboot na nikaweza kuiformat, lakini inawaka kwa muda mfupi na kujizima, ukiwasha tena inarejea tatizo lake la awari.
   
 7. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #7
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  myb mobo imezingua kijana, au jaribu ku check ram ka iko poa
   
 8. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Inawezekana MOB ina matatizo, lakini RAM nilishabadilisha na kuweka mpya lakini haikusaidia
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Bab mtu
  Nenda soma manual ya computer yako mwishoni kuna . cheki kwenye kipendegle cha troubleshooting alafu nenda kwenye power problem

  kama huna manual kaichukue online kwenye official website ya dell Documentation.

  kwa haraka haraka wanasema hivi

  IF THE POWER LIGHT IS STEADY AMBER — A device may be malfunctioning or incorrectly installed.

  • Ensure that the processor power cable is securely connected to the system board power connector (POWER2) (see the "System Board Components" section for your computer).
  • Remove and then reinstall all memory modules (see "Memory" on page 313).
  • Remove and then reinstall any expansion cards, including graphics cards (see the "Cards" section for your computer).
  • Perform the power supply self-test, if applicable (see "Power Supply Self-Test" on page 340).

  IF THE POWER LIGHT IS BLINKING AMBER — The computer is receiving electrical power, but an internal power problem may exist.
  • Ensure that the voltage selection switch is set to match the AC power at your location (if applicable).
  • Ensure that all components and cables are properly installed and securely connected to the system board (see the
  "System Board Components" section for your computer).
  • Perform the power supply self-test, if applicable (see "Power Supply Self-Test" on page 340).


  Pg 340
  To perform the power supply self-test:
  1 Turn your computer off and disconnect the computer from the electrical outlet.
  2 Disconnect the DC power supply connectors from the system board and all internal devices. The procedure for disconnecting the power supply cables depends on the form factor of your computer:
  • For the mini tower, see "Power Supply" on page 79
  • For the desktop, see "Power Supply" on page 155
  • For the small form factor, see "Power Supply" on page 219
  3 Connect your computer to a working electrical outlet.
  4 Press and hold the power supply test button.
  – If the test LED illuminates, the power supply is functioning properly. Connect the DC power
  supply connector to the system board, and then perform the test again. Continue to connect
  devices (one at a time) and perform the self-test until the test LED fails to illuminate and a faulty
  device is identified. Replace the defective device/part or contact Dell (see "Contacting Dell" on
  page 370).
  – If the test LED does not illuminate, the power supply is defective. Replace the power supply or
  contact Dell (see "Contacting Dell" on page 370).
   
 10. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna changes zozote ulizofanya mara ya mwisho kabla ya kuzima? Inafika ktk Black screen (CMOS setup)?
   
 11. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Huku kote nilishapita kabla ya kuja hapa jf kutafuta msaada zaidi

  Sikuwahi kufanya changes za aina yoyote, haifiki ktk bios setup

  Sina vifaa, so, nmeshindwa.  Wakuu asanteni sana kwa michango yenu, mungu atawalipeni mbadala inshaallah.
  Hata hivyo bado pc haijapona, nmei-despouse store room. Katika kutafuta ufumbuzi wa tatizo nilipita website moja iliyoniambia kuwa MOB za dell zina matatizo, na wanakubali kubadilisha iwapo pc bado itakuwa ktk garentii na dell yako ni manufactured from US. Pia dell wamekili kuwa walinunua vifaa feki kutoka kampuni ya FOXCOM, vifaa hivyo vinahusiana na CPU coolin (Heat sink and thermal paste system). Na tatizo hili ni kwa dell za kuanzia mwaka 2004/2005 kuja juu. Hapa ofisini kuna dell zipatazo 7 zimekumbwa na tatizo hilo, yaani zimekufa, nmewashauri wanaotaka pcs hapa ofisini wanunue compaq au brand nyingine.
  Idumu subforum hii ya sayansi na teknolojia
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Baba mtu nina ushuri

  MOB ni system ina subsytem nyingi. So system nzima ya MOB kufa ni nadra sana. Labda kama kifaa subsytem kinachsababisha hivi waseme ni unrepairable au gahrama yake ni kubwa. So unaweza kukuta kwenye hiyo MOB kuwa power IC tu inatakiwa kubadilishwa.

  Compaq ilinunuliwa na HP pia na wao kuna brand zao zina matatizo. So katika brand hata kama ni toshiba au IBM hakikisha umefanya uchunguzi wa kutosha. Kila brandina model zenye matatizo.

  But again nakushauri hata kama umeichoka hiyo latop ifanyie mazoezi mwenywe. Unaweza kushangaa kilichokufa ndani ya MOB hakizidi shilingi 10,000. na unaifufua na kuiza au kuigawa kwa ndugu. na wahitaji.

  Ukipeleka kwa fundi akasema motherboard imekufa .muulize mother baord imekufa nini. Ukikosa jibu la uhakika ujue sio competent..........

  Its too general na si jibu la kitaalam kusema mother board nzima imekufa.Tena kwa laptop inayoonyesha inapokea moto.
   
 13. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu nimekuelewa, tatizo ni kuwa sina vifaa vya kisasa vya ku-detect faults in mother board. Hata hivyo mashine zilizoaribika sio dell laptop bali dell desktop.
  Kuna pc moja baada ya kuichunguza mob yake kwa umakini (visual inspection) nikaona kuna baadhi ya capacitors zimeyeyuka!!! kana kwamba zimepewa kiasi kikubwa cha umeme!!
   
Loading...