Habari wakuu,
Nimefuta service files pc yangu, na sasa napata ujumbe wa erro (0x80042302). Je nifanyeje ili kurudisha katika hali ya kawaida,ni install windows upya ama ni formart tu. msaada please wajuzi
Yangu ni 64bts nadhani hizi services pack zitasaidia maana naona hata upande wa saut nao umeharibika, lakini what if nika wipe out Kila kitu na ku install upya window system is it possible?