Delaying in juculatig powder

Delaying in juculatig powder

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wana jf naombeni msaada kwa anaye juwa hii kitu inapatikana sehemu gani hapa dsm, pia bei zake na ikibidi ikipatikana namba ya simu ya muhusika.Msaada
 
Weka picha usaidiwe

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mwili ukizoea hiyo dawa,unakuwa mtumwa,boresha lishe yako,fanya matiz ya ukweli,mbona unakuwa Messi ktk kupachika mabao.

Tangiapo ye N messi sema anataka kiwa BAHANUZI awe anafunga kwa kichelewa sana
 
Hizo powder au spray zinazochelewesha pizz zina contain madawa ambayo huwa yanatumika kuweka ganzi kwenye operations ili kumfanya mgonjwa asisikie maumivu, so kwa ajili ya kupaka dushelele na kuchelewa kupizz maana yake ni ina reduce sensitivity,,,na ukitumia kwa muda mrefu mashine inakufa ganzi kabsa inagwa unaweza kwenda li saa lizima bila pizz,,,,,use it at your won risk.
 
Nenda feri kakamate yule mdudu anayeitwa Pweza matatizo yataisha.
 
Back
Top Bottom