Dekoda ya dstv Explora inauzwa bei sawa na bure

Rich Forever

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
467
469
Wakuu dekoda ya dstv eplora inauzea bei sawa na bure shilingi laki moja na themanini tu =180000

Ipo kwenye hali nzur kabisa yafaa kwa matumizi

Simu

0692792519

0719590756

2301c155-fa3f-490c-92b4-7857ee2ef80b.jpg
60f4e182-cd7b-4696-8028-4f97ddea0520.jpg
60f4e182-cd7b-4696-8028-4f97ddea0520.jpg
 
Tatizo la hayo ma vitu, ni gharama za kulipia kila mwezi tu!! Na sio gharama za kukilipia
 
Inasifa zipi tofauti nahizi za elf 99.?

Moja ya sifa za King'amuzi cha DStv Explora ni Kurekodi na kina uwezo wa 1TB(Gb 1000) za kuhifadhi vipindi vilivyorekodiwa. DStv Explora ina uwezo wa kurekodi vipindi kwa utaratibu huu; ★ Kurekodi kipindi kinachorushwa kwenye Tv kwa muda huo. ★ Kurekodi kipindi kilicho hewani katika muda huo hata kama hakijawekwa kwenye Tv kwa muda huo. ★ Kurekodi kipindi kitakachorushwa baadae kiwe kimewekwa ama hakijawekwa kwenye Tv ★ Kurekodi series ya tamthilia kila inapofika bila hata kuwekwa. #Note01 Ili kipindi kiweze kurekodiwa ni sharti King'amuzi kiwe ON(Kimewashwa) wakati muda wa kipindi ukiwa umefika. #Note02 Mbali na Kurekodi, pia Ukiwa na Explora Unaweza kurudisha nyuma au kusimamisha kipindi bila kuathiri muendelezo wake kwa vyovyote, Kukodi movies online/Box office na kuangalia vipindi uvipendavyo ambavyo ulivikosa vilipokuwa live


Wataalamu wataongeza zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom