M Mthuya JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 1,415 Reaction score 229 Jul 24, 2013 #2 Kwani Obama anakuja tena?
N nobo Member Joined Jul 10, 2013 Posts 74 Reaction score 36 Jul 24, 2013 #3 Tz ya ajabu, Maputo Mozambique na nchi zingine tangu kabla ya 1980s wana suck vumbi ya barabarani na kupiga deki sisi kabla ya saa 11 alfajiri, sisi mpaka leo tunashangaa? ni mind set tu na kujizoeza hiyo budget, then inakuwa mila. Lo!
Tz ya ajabu, Maputo Mozambique na nchi zingine tangu kabla ya 1980s wana suck vumbi ya barabarani na kupiga deki sisi kabla ya saa 11 alfajiri, sisi mpaka leo tunashangaa? ni mind set tu na kujizoeza hiyo budget, then inakuwa mila. Lo!