Kama umesoma PCB hivi ukichukua bachelor of commerce in accounting ambayo ipo udsm pia o level alipata C ya math na Advance alipata B ya Bam hii course ni nzuri kwake

Ni zuri kama ameipenda
Lakini swala la AJIRA baada ya kumaliza sio rahisi kupata kwa fani nyingi maan graduate ni wengi kwahiyo mjipange mapema akimaliza asije kulia uku mtaani

Waambieni madogo wasome courses ambazo ni highly or to be highly demanded
1.Data science
2.Renewable energy
3.Mental health
.........
Hizo course za accounting tumezisoma kaka zao na tupo benchi bado tena mna washauri madogo wapige,hapana jamani!