Kweli haeleweki au anamaanisha je mtu anayeanzia kusoma Veta certificate anaweza pata degree ya Electrical Engineering?Sijaelewa swali,
Unamaanisha degree ya EE uipatie VETA au una certificate ya VETA uombe EE degree?
Uko sahihi, mzeeKumbe swali lako ni kuuliza kama inawezekana kwa mtu aliyesoma VETA kujiendeleza mpaka kufikia Degree ya Electrical Engineering
Ukisoma VETA ukafikia NTA level 3 ukiwa na sifa unaweza kujiunga na vyuo vya ufundi ngazi ya kati vinavyotoa Diploma mfano Mbeya University, au Dar Es Salaam kwa kozi za Ufundi unaanza NTA Level 4 hadi Level 6 na ukiwa na ufaulu mzuri unaweza kuendelea ngazi ya digrii NTA Level 7 na 8
Kijana kwema kupita VETA hata ukitaka kufika PhD ni inawezekana. Hakikisha una D nne mana hakuna degree utasoma nchini bila kuwa chini ya D nne kama huna izo unaweza kupiga both Veta uku una Reseat upate izo D veta kuna level 1 up to 3 faida ya VETA kama kichwa chako kinajiongeza ukimaliza tu first year tayari utakuwa una skills za kiufundi na unaweza kuomba kwa fundi yoyote ukapambana kujiivisha zaidi ukimaliza level two ukafaulu utapewa cheti kabisa ambapo unaweza kuomba tempo au ajira permanent viwandani maisha yakasonga na ukaachana kabisa na Kupiga simu home sijui unataka hela ya kula NO.. after apo utafanya level 3 then utajoin level 4,5 na 6 iyo ni Diploma mkuu ukimaliza diploma utaendelea tu mwenyewe mpaka degree.. Amini nakuambia siku ukiwa mhandisi na umeanzia VETA utakuwa Imara mno mno. Yote safari ni Ngumu na chungu ila ni moyo tu na kukaza
VETA itoe BSc.?
Duuh !! We kweli ni ROADMAPKijana kwema kupita VETA hata ukitaka kufika PhD ni inawezekana. Hakikisha una D nne mana hakuna degree utasoma nchini bila kuwa chini ya D nne kama huna izo unaweza kupiga both Veta uku una Reseat upate izo D veta kuna level 1 up to 3 faida ya VETA kama kichwa chako kinajiongeza ukimaliza tu first year tayari utakuwa una skills za kiufundi na unaweza kuomba kwa fundi yoyote ukapambana kujiivisha zaidi ukimaliza level two ukafaulu utapewa cheti kabisa ambapo unaweza kuomba tempo au ajira permanent viwandani maisha yakasonga na ukaachana kabisa na Kupiga simu home sijui unataka hela ya kula NO.. after apo utafanya level 3 then utajoin level 4,5 na 6 iyo ni Diploma mkuu ukimaliza diploma utaendelea tu mwenyewe mpaka degree.. Amini nakuambia siku ukiwa mhandisi na umeanzia VETA utakuwa Imara mno mno. Yote safari ni Ngumu na chungu ila ni moyo tu na kukaza
Si mnajengewa SGR au umesahau? Kingine electrical technician ana maeneo mengi sana ya kazi mzeeNina diploma ya electrical engeneering je naweza pata ajira sekta gani mbali na tanesco