Hii ni moja ya sababu kwa nini baadhi ya watu hulia wanapohitimu mView attachment 823164asomo yao
Hata sasa iv ipo hasa upande wa kusini mwa Tanzania, wenzetu bado hali si shwari kivileNadhani hii haiwezi kuwa kwa sasa.niliwahi somea katika mazingira kama haya .ila ni miaka hiyo mingi iliyopita
Kweli kabisa, na hilo vumbi hapo funza mpaka makalioni.siyo hicho tu /kunamengi yalijificha
AmiiinHalafu watu wanachezea hela kununua wapinzani kisha kurudia uchaguzi. Hela inayotumika kurudia kata moja kiti cha udiwani inatosha kabisa kuwafanya watoto hawa wakasoma katika mazingira rafiki..TAFAKARI CHUKUA HATUA.Wabadhirifu waote wa hela ya umma kwa mgongo wa gharama ya demokrasia waende motoni.
Imani yako ipokwenye nini? Kama miaka hiyo uliyopita wewe lakini mpaka leo bado kuna shule zipo hivyo.Wengi tumepita huko ila ingawa ya zote changamoto lakini tulipofikia tunamshukuru mungu nje zote changamoto bado naimani na chama tawala
Bado ninamamlaka kamili ya kuzitimiza ndito zangu katika taifa lililo huru sitegemei serikali kunipa maisha mazuri wakat najua duniani ni kupambana mpka kufa unaesubiri serikali ikufanyie kila kitu utailaumu sana nao wanamambo yao wanataka ku acomplish kama kurudisha gharama za kampeni sitegemei kila kitu kitsboreshwa kama tunavyotakaImani yako ipokwenye nini? Kama miaka hiyo uliyopita wewe lakini mpaka leo bado kuna shule zipo hivyo.
Sawa. Unasema hutegemei Serikali, Kuna serikali inayoundwa bila chama? Unaposema "Unaimani na chama tawala unamaanisha nini"Bado ninamamlaka kamili ya kuzitimiza ndito zangu katika taifa lililo huru sitegemei serikali kunipa maisha mazuri wakat najua duniani ni kupambana mpka kufa unaesubiri serikali ikufanyie kila kitu utailaumu sana nao wanamambo yao wanataka ku acomplish kama kurudisha gharama za kampeni sitegemei kila kitu kitsboreshwa kama tunavyotaka
Chama kilichounda serikali nina imani nacho kwa sera zake nzuri zilizoniwezesha mtoto wa mkulima kupata elimu tena ya kata ila imenijengaSawa. Unasema hutegemei Serikali, Kuna serikali inayoundwa bila chama? Unaposema "Unaimani na chama tawala unamaanisha nini"
Sasa unaposema huitegemei serikali unamaanisha nini? au niambie kitugani utafanya bila kutegemea serikali?Chama kilichounda serikali nina imani nacho kwa sera zake nzuri zilizoniwezesha mtoto wa mkulima kupata elimu tena ya kata ila imenijenga