mie ananikumbusha enzi za sekondari, barua nzima ya ki-date imejaa dedication, afu spellling si za majina wala nyimbo zote zimekosewa. Utaona
Immorality-selina dioni
Heiro-Maraya karey
umenikumbusha mbali, hoyeee st kayumba
Wewe ni mwenzangu!Samahani kusema
Sijawahi kuvutiwa na nyimbo za Beiber..