DED -Kilindi tulipe pesa zetu za usimamizi wa mitihani ya Taifa 2015

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,299
474
Kichwa cha habari chahusika, huyu mkurugenzi imepita miezi sasa hajatulipa pesa zetu tunamuomba waziri husika umuwajibishe maana tumemwandikia barua hataki kutupa haki yetu, ntarudi
 
specify Mkuu.. mitihani ipi la saba.. kidato cha NNE au cha pili au mitihani ya ualimu ? na je uliwasiliana na necta?
 
Mitihani ya Taifa kidato cha nne, wizara inasema ishalipa lakini halmashauri haijalipa
 
Back
Top Bottom