Natangaza kuwa mimi niko against na agizo hilo,
sababu:-
1. Iko kinyume na mkataba wa kazi.
2. Namna ya uendeshaji wa mafunzo ni kihunihuni ikiendana na kuimba nyimbo zenye lugha chafu
3. Tumeshinikizwa bila kupewa
maelezo yoyote,
4.nnafanya mazozezi binafsi,
5. Cheti cha mgambo has nothing to do with my future.
6. Madai yangu mengi hayashughulikiwi badala yake naletewa huu upuzi kunisahaulisha na kunizoesha dhiki ,
Hii imekaaje wadau,