mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
Inaweza kuwa ni signal ilikuwa low au hamna kwa channels za local. Ukisearch wakati signal iko low au hamna kabisa lazima zipotee. Linapotokea tatizo kama hilo tafadhali usisearch. Angalia signal ikoje, nenda settings uangalie signal ni ngapi fanya hivyo ukiwa umechagua channel isiyoonyesha. Unaweza kukuta ni zero. Kwa kawaida ni vema kusubiri tu bila kufanya chochote yaani kama umeme unapokatika tunasubiri tu urudi hana namna. Tatizo la kukatika channels hata ving'amuzi vya antenna linatokea mara kwa mara. Mimi nina Startimes cha antenna huwa kninakata local, au news channels kama bbc,aljazeera,nk au wakati mwingine zote. Nasubiri tu zinarudi..
Kwa hiyo wewe cha kufanya chech signal kama iko vema search tena.
"Maumivu yakizidi muone daktari"
Hili tatizo hata mimi limenitokea, kwanza TBC 2 ilipotea, nikafanya automatic search hapo nikapoteza zote including tv1 sijajua tatizo nini, tusubiri wataala waje
Nunua tu nyingine hiyo ishakufa tiyari
Hata hizo na zenyewe zitapoteaInaonyesha channels zote.. Tatizo local tu.
Ni kifo gani hiki?
Jana nilimsikia mbunge mmoja anahoji kwanini hawaonyeshi hizo local Chanel pindi kifurushi kipoisha!
Nahisi watakuwa wamekasirika
Watu tupo AZAM TV
Decorder yako imechoshwa na hali yako ngumu ya uchumi.
Hahaha! decoder imefanya maamuzi magumu! jamaa amewekeza kwenye ulabu! umeona ID yake?Decorder yako imechoshwa na hali yako ngumu ya uchumi.
ππ ichoshwe VP wakati Ina Salio la kuangalia channels zingine nje ya local?
Hahaha! decoder imefanya maamuzi magumu! jamaa amewekeza kwenye ulabu! umeona ID yake?