Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,504
- 11,737
- Thread starter
- #61
Unadhani ni bahati mbaya!? Malipo tunafanya jwa pesa ya Burundi so rate inabadilika mara kwa mara japo ni kidogo sana...sasahivi imeshuka zaidi ni 43k kwa English Package (unaangalia epl, uefa, europa n.k) na 48k kwa kifurushi cha juu zaidiSasa mbona bei zako hazieleweki..
Huku kifurushi cha mwezi 48k unaona ligi zote kubwa kwingine umeandika 50k
Tukueleweje?