B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 4, 2020 #1 NyakisasaEmpire &Brokers tunakusanya kutoka wadaiwa sugu na ya kawaida kwa malipo ya kawaida. Jaribu huduma yetu hutojutia.
NyakisasaEmpire &Brokers tunakusanya kutoka wadaiwa sugu na ya kawaida kwa malipo ya kawaida. Jaribu huduma yetu hutojutia.
Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,474 Reaction score 2,788 Jul 4, 2020 #2 Kuna kufanya biashara kwasababu unao mtaji na kuna kufanya biashara kwasababu wewe ni mfanyabiashara. Mkuu fanya kitu ukiwa na muda na nia ya kufanya. Ukipata muda ukae uandike vizuri.
Kuna kufanya biashara kwasababu unao mtaji na kuna kufanya biashara kwasababu wewe ni mfanyabiashara. Mkuu fanya kitu ukiwa na muda na nia ya kufanya. Ukipata muda ukae uandike vizuri.
Royal Warrior JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 1,166 Reaction score 2,144 Jul 5, 2020 #3 Kuna mshkaji wangu nilimkopa laki 1, leo mwezi wa sita hajanilipa, tumfanyeje?
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #4 Royal Warrior said: Kuna mshkaji wangu nilimkopa laki 1, leo mwezi wa sita hajanilipa, tumfanyeje? Click to expand... Yuko wapi?
Royal Warrior said: Kuna mshkaji wangu nilimkopa laki 1, leo mwezi wa sita hajanilipa, tumfanyeje? Click to expand... Yuko wapi?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,665 Jul 6, 2020 #5 Ebwana huduma yako nahitaji...kuna papuchi moja niliikopesha 300k mpaka leo mwaka wa pili hajanilipa naishia kumgegeda tuu...unanisaidiaje hapo?
Ebwana huduma yako nahitaji...kuna papuchi moja niliikopesha 300k mpaka leo mwaka wa pili hajanilipa naishia kumgegeda tuu...unanisaidiaje hapo?
black hawk87 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 678 Reaction score 1,246 Jul 6, 2020 #6 mzabzab said: Ebwana huduma yako nahitaji...kuna papuchi moja niliikopesha 300k mpaka leo mwaka wa pili hajanilipa naishi kugegeda tuu...unanisaidiaje hapo? Click to expand...
mzabzab said: Ebwana huduma yako nahitaji...kuna papuchi moja niliikopesha 300k mpaka leo mwaka wa pili hajanilipa naishi kugegeda tuu...unanisaidiaje hapo? Click to expand...
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #7 mzabzab said: Ebwana huduma yako nahitaji...kuna papuchi moja niliikopesha 300k mpaka leo mwaka wa pili hajanilipa naishi kugegeda tuu...unanisaidiaje hapo? [/QUOTE unaushahidi wa Maandishi boss? Click to expand...
mzabzab said: Ebwana huduma yako nahitaji...kuna papuchi moja niliikopesha 300k mpaka leo mwaka wa pili hajanilipa naishi kugegeda tuu...unanisaidiaje hapo? [/QUOTE unaushahidi wa Maandishi boss? Click to expand...
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Jul 6, 2020 #8 breaky said: NyakisasaEmpire &Brokers tunakusanya kutoka wadaiwa sugu na ya kawaida kwa malipo ya kawaida. Jaribu huduma yetu hutojutia. Click to expand... Bei zenu zikoje..na masharti yenu ni yepi..hebu jieleze vyema
breaky said: NyakisasaEmpire &Brokers tunakusanya kutoka wadaiwa sugu na ya kawaida kwa malipo ya kawaida. Jaribu huduma yetu hutojutia. Click to expand... Bei zenu zikoje..na masharti yenu ni yepi..hebu jieleze vyema
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Jul 6, 2020 #9 Moses Swai said: Naombeni kazi ya kudai Click to expand... 😆😆😆Yaani nna mtu namdai hela nahis kusurrender
Moses Swai said: Naombeni kazi ya kudai Click to expand... 😆😆😆Yaani nna mtu namdai hela nahis kusurrender
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #10 Wangari Maathai said: Bei zenu zikoje..na masharti yenu ni yepi..hebu jieleze vyema Click to expand... Masharti ni lazima uwe na ushahidi usio na shaka juu ya deni tajwa. Pili mdaiwa awe hai na ana makazi maalumu Commission yetu ni 10% ya rejesho
Wangari Maathai said: Bei zenu zikoje..na masharti yenu ni yepi..hebu jieleze vyema Click to expand... Masharti ni lazima uwe na ushahidi usio na shaka juu ya deni tajwa. Pili mdaiwa awe hai na ana makazi maalumu Commission yetu ni 10% ya rejesho
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #11 Wangari Maathai said: 😆😆😆Yaani nna mtu namdai hela nahis kusurrender Click to expand... Yuko wapi?
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Jul 6, 2020 #12 breaky said: Yuko wapi? Click to expand... Moro..
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Jul 6, 2020 #13 breaky said: Masharti ni lazima uwe na ushahidi usio na shaka juu ya deni tajwa. Pili mdaiwa awe hai na ana makazi maalumu Commission yetu ni 10% ya rejesho Click to expand... Mfano sijui anakaa wapi..naruhusiwa kupeleka kazini kwake🤭
breaky said: Masharti ni lazima uwe na ushahidi usio na shaka juu ya deni tajwa. Pili mdaiwa awe hai na ana makazi maalumu Commission yetu ni 10% ya rejesho Click to expand... Mfano sijui anakaa wapi..naruhusiwa kupeleka kazini kwake🤭
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #14 Wangari Maathai said: Mfano sijui anakaa wapi..naruhusiwa kupeleka kazini kwake🤭 Click to expand... Kituo chake cha kazi unakijua?
Wangari Maathai said: Mfano sijui anakaa wapi..naruhusiwa kupeleka kazini kwake🤭 Click to expand... Kituo chake cha kazi unakijua?
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Jul 6, 2020 #15 breaky said: Kituo chake cha kazi unakijua? Click to expand... Nakifahamu
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,665 Jul 6, 2020 #16 Sasa ushahidi wamaandishi nitatoa wapi wakati huo mkopo nilitoa wakati nagegeda mwanawane
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,703 Reaction score 37,930 Jul 6, 2020 #17 breaky said: NyakisasaEmpire &Brokers tunakusanya kutoka wadaiwa sugu na ya kawaida kwa malipo ya kawaida. Jaribu huduma yetu hutojutia. Click to expand... Hii ndo inawakilisha aina ya service watakayotoa
breaky said: NyakisasaEmpire &Brokers tunakusanya kutoka wadaiwa sugu na ya kawaida kwa malipo ya kawaida. Jaribu huduma yetu hutojutia. Click to expand... Hii ndo inawakilisha aina ya service watakayotoa
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #18 mzabzab said: Sasa ushahidi wamaandishi nitatoa wapi wakati huo mkopo nilitoa wakati nagegeda mwanawane Click to expand... Tafuta ushahidi wa picha!
mzabzab said: Sasa ushahidi wamaandishi nitatoa wapi wakati huo mkopo nilitoa wakati nagegeda mwanawane Click to expand... Tafuta ushahidi wa picha!
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #19 uttoh2002 said: Hii ndo inawakilisha aina ya service watakayotoa Click to expand... Unamanisha nn?
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 6, 2020 Thread starter #20 Wangari Maathai said: Nakifahamu Click to expand... Basi kazi inafanyika