Hizi debate wanaolikwa huwa wanalipwa posho, sasa wewe unajua **** ukumbi wa bure unatatusainisha wapi?
Yote kwa yote mjasiliamali yupo wa aina mbili mpaka tatu, mfano •kuna wakuzaliwa na kufundishwa, wakuzaliwa ndiyo wale wanaofanya mambo yao na kufikia hatua kubwa pasipo usaidizi wa mtaalamu na huyu mwingine ndiyo wale mpaka akakalishwe kwenye semina na kupewa kila kitu nk...