Death threats

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
16,676
Reaction score
8,246
Kenya election violence witnesses get death threats
 

Wanatafuta kwa kujificha. Utaishi vipi kwa kujifichaficha kama kuku? Tanzania wamewashitukia na yote hii ni kwa sababu ya Unyang'au. Kama wao wenyewe kwa wenyewe hawapendani inawezekana vipi wakaja kutufundisha jinsi ya kuishi kwa amani? Let alone unafiki wanaoufanya kila kukicha.
 

Mambo ya umafia walianza zamani sijui kama mnamkumbuka ngoja niwape baadhi ya viongozi maarufu ambao waliuawa
P.G. Pinto 1965
T. O. Mboya 1969
J. M. Karriuki 1969
R. Ouko 1990
G.G Njuguna 2008
M. M. Were 2008
Hawa ni wachache tu ambao inasemekana waliuawa na washika madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…