Death by a thousand cuts

In addition, TACTICS dictate non disclosure, amongst others, 'your inferences' ... subject to follow up. Simple!
When u are able to smell, a FART, in this case Mashinjis from the onset need you let the whole world asses your capacity. No!
 
Chadema wameegemea sana kwenye siasa rahisi. Eti chama cha upinzani kipo pale kuchafua vyama vingine vya upinzani na kuchochea migogoro ili vife na kibaki chenyewe kama chama pekee cha upinzani.

Eti akina Kubenea wanahamasishana wavamie ofisi za CUF Buguruni "kumng'oa msaliti". Walimuita Mbatia mbunge wa viti maalum na wakaiita CUF na vyama vingine kuwa ni CCM B. Cha ajabu CDM hiyo hiyo ikashirikiana na NCCR na CUF kupitia UKAWA, vyama ambavyo waljvipachika jina la CCM B. Mbaya zaidi wakatubadishia gia angani na kuharibu "move" yote ya 2015.

Katika vya hovyo na visivyo na msimamo ni hiki Chadema ingawa wenyewe wanajiita "wapinzani wa kweli".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…