Dear mother in law

mmmmhhhhh timbwili la hapo hata refa haingilii!!!!!!!!!!!!
 
Huyo mwanamke hana adabu kabisa, si tabia za kiafrika kumwambia mkweo hivyo
 
mmmmhhhh hana adabu huyo mimi nakuwa mama mkwe atashika adabu mmxiiuuuu
 
dawa ya wanawake kama hawa wenye midomo ni kumsugua usiku kucha walau badala ya kufikiria maneno hayo awe anaenda lala kwa uchovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…