Kumbe bado mdogo, ndio maana!Acha tu best..
Ila God Knows. Namshukuru saana yeye aliye juu.
Maumivu niliyopata yalikuwa makali saana, kuliko hata yale ya kufiwa na Baba yangu mzazi... Miaka 8 iliyo pita nikiwa Kidato cha 4
Pole sana ila there will be a day with no more tears,no more pain.Acha tu best..
Ila God Knows. Namshukuru saana yeye aliye juu.
Maumivu niliyopata yalikuwa makali saana, kuliko hata yale ya kufiwa na Baba yangu mzazi... Miaka 8 iliyo pita nikiwa Kidato cha 4
Ni Kweliiii adui ni Wanaume wenzetu, yaan ukiwa na weaknesses Fulan,katika mahusiano yako,Ila kwenye mahusiano nimegundua wanaume ndiyo huwa mnaumia zaidi .. Japo adui zenu ni wanaume wenzenu..
Mtenda akitendewa kaonewa...[emoji23]Si unajua mtenda akitendwa.
Halafu na mdada wa jf huku huku .Umeachwa eeeeh!! Kufa kufaana my lavu, njoo niukarabati huo moyo Ushimen
Nilimaanisha maumivu niliyo pata baada ya kuachwa, yalikuwa ni makali kuliko hata Yale niliyo wahi kupata baada ya kufiwa na mzazi nikiwa o. LevelKidato cha nne ukalizwa hivyo mkuu?
Pole sana ila there will be a day with no more tears,no more pain.
Kuwa imara .. Katika jambo lolote kabla haujafanya identify kwanza faida na madhara yake na how to deal with em..
Ili ikitokea lisiwe geni sana kwako. Hicho kipindi pengine ungeweza hata kujiua ujue..
Oh kumbe nimeelewa tofauti ngoja nikachange. Halafu unijibu tena mkuuNilimaanisha maumivu niliyo pata baada ya kuachwa, yalikuwa ni makali kuliko hata Yale niliyo wahi kupata baada ya kufiwa na mzazi nikiwa o. Level
Hahaa, 26 ni mdogo mkuuKumbe bado mdogo, ndio maana!
Aisee. Huku wewe umelizwa mwingine anachekelea.Ni Kweliiii adui ni Wanaume wenzetu, yaan ukiwa na weaknesses Fulan,katika mahusiano yako,
Hiyo itakuwa, karata ya mwanaume mwingne kuja kuingilia ktk mahusiano yako.
Nyie matozi yenu mnayapeleka wapi? Another shoulder?Ila kwenye mahusiano nimegundua wanaume ndiyo huwa mnaumia zaidi .. Japo adui zenu ni wanaume wenzenu..
Ukiwa junior kabisa mkuu. Nilifikiri ndoani au uchumbani.Acha tu best..
Ila God Knows. Namshukuru saana yeye aliye juu.
Maumivu niliyopata yalikuwa makali saana, kuliko hata yale ya kufiwa na Baba yangu mzazi... Miaka 8 iliyo pita nikiwa Kidato cha 4
Kiasi kingine unawekelea Tbills au? [emoji3]Aisee. Huku wewe umelizwa mwingine anachekelea.
Ila ndiyo maana watu wanashauri usimpende mtu sana.. Mpende kiasi tuu.
mkuu ni kwenye uchumba juzi tu,, nilimaanisha maumivu niliyo pata yalikuwa makubwa kuliko Yale niliyo wahi kupata baada ya kufiwa na mzazi miaka 8 iliyo pitaUkiwa junior kabisa mkuu. Nilifikiri ndoani au uchumbani.
Ohoooo... Nimekupata vizur mkuu. Pole sana. I hope ulipata remedies na maisha yanasonga.mkuu ni kwenye uchumba juzi tu,, nilimaanisha maumivu niliyo pata yalikuwa makubwa kuliko Yale niliyo wahi kupata baada ya kufiwa na mzazi miaka 8 iliyo pita
Acha tu mkuu, Namshukuru Mungu.Ohoooo... Nimekupata vizur mkuu. Pole sana. I hope ulipata remedies na maisha yanasonga.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji149]Acha tu mkuu, Namshukuru Mungu.
Saivi hasira nmeelekeza kwenye kutafuta hela
Yah bora kuweka kweny Tbills coz there is no risk of losing on the investment.Kiasi kingine unawekelea Tbills au? [emoji3]
Matoziii?Nyie matozi yenu mnayapeleka wapi? Another shoulder?