Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,111
Control your magnitude of anger y'll succussed[emoji3]
Will be overrated if you're not find the perfect soulmate.Nowadays, I don’t care, if she decide to move on, or if she decide I am not the one, I am okay with that.
Sometimes I think love is overrated .
We all have difficulty getting over someone. It is hard to move on after a serious relationship lakini mwisho wa Siku lazima ukubali haikuwa rizik na maisha yaendelee.Hivi mnawezana kuachana bila mmoja kuhisi amekuwa betrayed? Bila mmoja kumtupia lawama mwenzake? Labda ni Kama kazi umeichoka then unatafuta nyingine tena wanakuandikia na recommendation wale waajiri wako wa mwanzo. Sijawahi achana na mtu tukawa peace.
Will be overrated if you're not find the perfect soulmate.
You made a very good point. Perhaps why don't you consider a cost losing precious metal in ocean? On some extent may be easy to move on nd found another one but so difficult when u cant opt and find a sub.For me, i think it is like finding a friend. Why are we not complicating in finding friends? we let friendship happen spontaneously and if something happen we let it go.
Every action has equal to the opposite Reaction...Listen to Rudimental-Powerless also refers to 3rd law of motion.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Falling deeply without an opt outputs?Every action has equal to the opposite Reaction...
How does it relate here?
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Thank you for your beefing, Rudimental was found in a love cobweb same to the OP. So he should act intensively to overcome his noises whispers of the then mate..Listen to Rudimental-Powerless also refers to 3rd law of motion.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mapenzi ni kitu cha hovyo saana, my gal left me simply bcoz amepata njemba nyingine.Falling deeply without an opt outputs?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mapenzi ni kitu cha hovyo saana, my gal left me simply bcoz amepata njemba nyingine.
I cried and scrimed for a month, nilihisi dunia imesimama. nlibembeleza saana arudi.. Hakurudi,,
Only God knows kile kipindi nilicho pitia, kilograms zangu zilipungua mno.. Kutoka kilo 62 mpaka 49.nilikonda mno
msosi ulikuwa haupandi, sipati usingizi.. kuoga sitaki...
Heshima kwenu wadada, piano heshima kwenu washkaj wote mnao wahadaa mademu zetu tulio toka nao mbali,,
Perfect for the hard and real hearts[emoji123]. No more tears rather than cheers[emoji847][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Thank you for your beefing, Rudimental was found in a love cobweb same to the OP. So he should act intensively to overcome his noises whispers of the then mate..
Mweeeeh!!! Pole sana.Mapenzi ni kitu cha hovyo saana, my gal left me simply bcoz amepata njemba nyingine.
I cried and scrimed for a month, nilihisi dunia imesimama. nlibembeleza saana arudi.. Hakurudi,,
Only God knows kile kipindi nilicho pitia, kilograms zangu zilipungua mno.. Kutoka kilo 62 mpaka 49.nilikonda mno
msosi ulikuwa haupandi, sipati usingizi.. kuoga sitaki...
Heshima kwenu wadada, piano heshima kwenu washkaj wote mnao wahadaa mademu zetu tulio toka nao mbali,,
Dooh pole sana mkuu.. From 62 kg to 49 kg. Ni hatari.Mapenzi ni kitu cha hovyo saana, my gal left me simply bcoz amepata njemba nyingine.
I cried and scrimed for a month, nilihisi dunia imesimama. nlibembeleza saana arudi.. Hakurudi,,
Only God knows kile kipindi nilicho pitia, kilograms zangu zilipungua mno.. Kutoka kilo 62 mpaka 49.nilikonda mno
msosi ulikuwa haupandi, sipati usingizi.. kuoga sitaki...
Heshima kwenu wadada, piano heshima kwenu washkaj wote mnao wahadaa mademu zetu tulio toka nao mbali,,
Acha tu best, siwalaumu watu wanao jinyonga kwa sababu ya mapenzi..Mweeeeh!!! Pole sana.
Ila kwenye mahusiano nimegundua wanaume ndiyo huwa mnaumia zaidi .. Japo adui zenu ni wanaume wenzenu..Perfect for the hard and real hearts[emoji123]. No more tears rather than cheers[emoji847]
Kwakweli Mungu aniepushie hilo balaa.Acha tu best, siwalaumu watu wanao jinyonga kwa sababu ya mapenzi..
Nime experience mwenyewe...
Ila kwenye mahusiano nimegundua wanaume ndiyo huwa mnaumia zaidi .. Japo adui zenu ni wanaume wenzenu..
Acha tu best..Dooh pole sana mkuu.. From 62 kg to 49 kg. Ni hatari.
But breakups hurt.. But loosing someone who doesn't respect and appreciate you.. Is actually a gain not a loss.
Bila shaka sasa hivi umesahau na maisha yanasonga.