Mawazo yako...tu..Mimi sipo huko kabisa.mpaka dushe limeshtuka
Sasa wanaume ...mkiombwa Hela na nyie mnaleta Hali sawa..ooh NAWEWE Katafute umekaa TU..Kila mtu akikaa kwenye wajibu wake haya mambo hata si magumu kihivyo.
Ulichosema ni kweli wapigania haki wengi hata ndoa zilishawashinda.
Ndio maana ndoa nyingi zinavunjika siku hizi,,,,,binafsi nashukuru Mungu Kazi ndogondogo km hizo hazinisumbui kupika ndo napenda balaaaaaaNi rahisi sana kama wanawake wataelwaa nini cha kufanya na kutofanya katika ndoa. Soma hapa.View attachment 1656776
Mwanaume mwenye akili timamu na ajuaye wajibu wake ngumu sana kukujibu hivyo.Sasa wanaume ...mkiombwa Hela na nyie mnaleta Hali sawa..ooh NAWEWE Katafute umekaa TU..
Sasa Mimi niondoke alfajiri nirudi sa Moja...Uanze kazi za nyumbani...kunakuchoka...
Kama wote mnafanya kazi... mwanamke hataweza simamia majukumu yooote ya ndani..Lazima ataihitaji mSAADa...
that's true menNi rahisi sana kama wanawake wataelwaa nini cha kufanya na kutofanya katika ndoa. Soma hapa.View attachment 1656776
Umebarikiwa miongoni mwa Wanawake wengi, hakika ukiwa mke wangu nitafua na kusaidia kupika, kuosha vyombo kwa mwanaume ni ngumu sanaNdio maana ndoa nyingi zinavunjika siku hizi,,,,,binafsi nashukuru Mungu Kazi ndogondogo km hizo hazinisumbui kupika ndo napenda balaaaaaa
Ahahaha [emoji847][emoji847][emoji847] thanks,usijari vyombo t dk sifuri.Umebarikiwa miongoni mwa Wanawake wengi, hakika ukiwa mke wangu nitafua na kusaidia kupika, kuosha vyombo kwa mwanaume ni ngumu sana
Kwa maelezo haya, inaonekana ulifaa sana kuwa mke wanguKwakweli Mimi sio advocate wa haki sawa..
Nimtokea TU kuupendwa uanamke Wangu na nimeyakubali majukumu yanayokuja na huu uanamke..
Nafanya majukumu yangu, kupika,kufua, kuosha vyombo,kudeki n.k sioni taabu Wala hata...Kuna Muda unachoka ndio..na unahitaji kusaidiwa...
Mwanamke simama SEHEMU yako, It's not hard
KaribuNaruhusiwa kuwa PM?