Dear future wife...

Mkuu future wife?😀😀😀😀😀 Unapoamua kuvaa uhusika wa kiume kwenye movie, jitahidi kufuata script ya kiume.....sasa wewe unatoka nje ya script.....hii ndio mara ya kwanza kuwa na aidiii mchepuko?🙁🙁🙁🙁🙁🙁 Sarcasm.
 
Wacha nimpelekee moto sasa nilikuwa namalizana na kafiri na ajifunge mshipi sawasawa vinginevyo utamporonyoka hehehe
the only thing that you are done with,is scripting another fairy tale.Stop lying and confess.
 
We kisokolokwinyo future wife wangu najua saizi unabanjuka tu na ki boyfriend chako mnadanganyana kua mtaoana, najua kishakutoa bikra ya heshima Ila chonde chonde nakuomba ujitahidi asikutoe bikra ya topeni maana huko ni laana mama
 
Hahahaah jf katika ubora wake... Kama kweli unampenda mtajeeeeeeeeeeeeeeee heheheee soriiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…