Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 5,527
- 7,121
- Thread starter
-
- #21
Thank you sana, Mwl.RCTHatua ya kwanza: Chagua thread yeyote, copy link yake.
Hatua ya pili: Login kwenye account yako ya GMAIL
Hatua ya Tatu: FunguaUtakuna na huu ukurasa:Code:https://notebooklm.google
View attachment 3295819
Hatua ya Nne: Bofya Try NoteBookLM
View attachment 3295820
Hatua ya Tano: Bofya Create New.
View attachment 3295821
Hatua ya Sita: Chagua Link > Website - Hapo paste ile link yako ya Thread uliyochagua
View attachment 3295824
Kama mfano nimechagua hii threadView attachment 3295825Code:https://www.jamiiforums.com/threads/uvccm-mtwara-wafanya-tambiko-maalum-kwa-ajili-ya-rais-samia-wajipanga-kulinda-ushindi-2025.2326371
Malizia kwa kubofya: Generate
View attachment 3295826
Baada ya dakika chache utapata Audio:
View attachment 3295828
Baada ya dakika chache: Utaweza sikiliza na Kudownload Audio kama hii:
View attachment 3295835
Audio: UVCCM Mtwara_ Support Ritual for President Samia & 2025 Victory
Wewe ni mwalimu kabisa kama jina lako lilivyo. Umeeleza vizuri sana.
Hizi ni end times kama nabii Daniel alivyotabiri(Dan 12:4). Maarifa yanaongezeka kwa kasi ya ajabu.