Zamani walikuwa wanakubali haraka haraka ni wao wamehusika; naona mdogo mdogo wanaanza kushika uelekeo wa kukana. Why so abrupt change? In short uovu haulipi! Na wale wa kwetu hapa wanopenda kushabikia upuuzi hiyo ni meseji; uovu haulipi hadi waarabu wameanza kushikana uchawi huko.