PATIENCE PB Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 163 Reaction score 37 Jan 24, 2017 #1 Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!!
Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!!
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 601 Jan 25, 2017 #2 PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... Acha uvivu, ingia google NBAA wana website .. Kusearch ngono tu ndio mnafahamu.
PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... Acha uvivu, ingia google NBAA wana website .. Kusearch ngono tu ndio mnafahamu.
PATIENCE PB Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 163 Reaction score 37 Jan 25, 2017 Thread starter #3 NBAA nimeangalia sijaona Mkuu ndo maana nikapost humu Jukwaa la Elimu......sa unapozungumzia mambo ya ngono nashindwa kukuelewa mkuu.
NBAA nimeangalia sijaona Mkuu ndo maana nikapost humu Jukwaa la Elimu......sa unapozungumzia mambo ya ngono nashindwa kukuelewa mkuu.
chavdy Senior Member Joined Feb 29, 2016 Posts 181 Reaction score 120 Jan 25, 2017 #4 PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... January 28 ndio mwisho
PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... January 28 ndio mwisho