baraka607
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 844
- 168
Habari wakuu,
Leo niko hapa na mzigo wa memory au RAM kwaajili ya ku-upgrade speed ya Laptop yako au Desktop yako. Kwa mfano, Laptop yako ina 2GB ram na unataka ku-upgrade kwenda 4GB ram, basi tangazo hili linakuhusu.
Bei ziko kama ifuatavyo:
DDR2 na DDR3 2GB kwa TZS 25,000/= tu iwe ya Laptop au Desktop
DDR2 na DDR3 1GB kwa TZS 20,000/= tu, iwe ya Laptop au Desktop
Nakaribisha maswali kama yatakuwepo na pia kwa wale wa mikoani zitawafikia kwa njia ya bus ila transport cost ni jukumu la mteja, sisi tutahakikisha mzigo unakufikia salama.
Tupo Dar es salaam - Kinondoni studio, opposite Stereo Bar iliyoungua na moto.
Mawasiliano:
0753196849
0655003510
Karibuni sana.