Shida ya wanafunzi wengi mnataka kusoma kwa show off, mnang'ang'ania course zilizowazidi vigezo, mtu anang'ang'ana asome UDSM au SUA wakati matokeo mabovu.
Bad enough umesoma HGE, hesabu hukusoma bado unataka course za science, are you serious? ,ww wa HGE ungesoma BBA,BAEC etc ungefanya vzur zaidi.