DCI Manumba: Tumejiandaa


Nimelipenda hilo bullet proof jacket la huyo askari wa pili hapo chini. Aliyebuni anitafute nimpe tuzo.
 
Polisi yetu imekuwa kama chama cha siasa.
Na yeye anataka watu watambue uwepo wake.
 

hao wanamgambo tulio nao kweli watamudu?
 
Mnaoubisha kauli za Majeshi yetu kujipanga subilini tarehe 10/10/2013 muone si mmeisha ambiwa na viongozi wenu mfanye mazoezi kama al shababu walivyoanza?Mimi naunga mkono kabisa kuwa majeshi nyetu yako vizuri sana na tuko salama sana.Mashabiki wa Chadema,CUF na NCCR watakiona kilichomnyoa Kanga manyoa siku hiyo waliyopanga kuleta vurugu nchini kwetu.Jeshi fanyeni kazi yenu CCM na Watanzania tunatambua umuhimu wenu.VIVA TANZANIA.
 
Jamani mm natoa ushauri hivi kwann vijana wa jkt wasiende kulinda pale magogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…