Amekuja ile wilaya, mchango wake umeonekana katika kuhamasisha maendeleo ya miundo mbinu, ujenzi wa keep left, vilevile kama ni mtu mwenye akili, unaona future plans zake tu. Ni mtu anayetaka ku-weka a mark to rememberHebu tupe mfano wa kazi alizozifanya au kumsikiliza maneno yake ukiwa ziarani umehitimisha kuwa ni mchapakazi?
CCM hata kununua jezi hawawezi.kusaidiwa jezi tu kijana. unafunguka sanajuc kidding!
Acheni mgogoro jengewe chuo hapo, hamtaki maendeleo nyie vipiItakua unamfahamu vizuri kwa sababu kama ulikua ziarani ila ikapata picha yake akiwa na hao vijana wamevaa jezi sijui ni uwanjani au walikua wanakimbia mchaka mchaka. Mwambie kuwa bado tunasubiri jibu la mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na kanisa katoliki jimbo la same imepita mwaka na mwezi mmoja sasa hamna jibu
Keep-left cha pale Panone mbona ni project ya karibia miaka mitatu iliyopita?Imetekelezwa tu na bajeti ya 2016/17.Amekuja ile wilaya, mchango wake umeonekana katika kuhamasisha maendeleo ya miundo mbinu, ujenzi wa keep left, vilevile kama ni mtu mwenye akili, unaona future plans zake tu. Ni mtu anayetaka ku-weka a mark to remember
Hahahahaha.... Mkuu lilee soko limejaa nyasi tupu.....hata hawaliendeleziKeep-left cha pale Panone mbona ni project ya karibia miaka mitatu iliyopita?Imetekelezwa tu na bajeti ya 2016/17.
Naona hapo kapiga picha na vijana uwanja wa Kwasakwasa mazoezi ya asubuhi au ndio Angela Kairuki Cup?
Mwambie amalize tatizo la maji Same,mambo ya maji ya kwenye kidumu watu wamechoka,halafu lile soko walilofungua pale Mahuu kwenye mbio za Mwenge mwaka jana lipo karibu na nguzo za umeme grid ya Taifa,watauwa watu kwa umeme,na soko lemyewe limekufa bila hata kuanza
Pamoja na hayo, yeye si limbukeni, pia kumbuka hata mnada wa kitamuri kule uliwashinda, kitu kikifnyika vizuri katika awamu yako sifa ni zako.Keep-left cha pale Panone mbona ni project ya karibia miaka mitatu iliyopita?Imetekelezwa tu na bajeti ya 2016/17.
Naona hapo kapiga picha na vijana uwanja wa Kwasakwasa mazoezi ya asubuhi au ndio Angela Kairuki Cup?
Mwambie amalize tatizo la maji Same,mambo ya maji ya kwenye kidumu watu wamechoka,halafu lile soko walilofungua pale Mahuu kwenye mbio za Mwenge mwaka jana lipo karibu na nguzo za umeme grid ya Taifa,watauwa watu kwa umeme,na soko lemyewe limekufa bila hata kuanza
Migogoro ya ardhi ipo sehemu nyingi, nenda loliondo, morogoro, nk,Maendeleo kwa kuiba maeneo ya watu? Hao waliochukua hayo maeneo unajua walichukua kwa njia gani? Walimlipa nani fidia? Unajua taratibu kisheria za ardhi kuchukua eneo la mtu bila kumpa taarifa nini kinafuata hapo?
Cc: JokaKuu