DC Makonda abanwa Kortini leo

Wanatuonea tukiwa uraiani,tukienda nao cortini wanaufyata,sana sana wanachotegemea ni nguvu ya dola.
 
Mungu kama Hakimu alivyoona maswali ya wakili yalikuwa ya kipuuzi. Mleta mada badili Kicwa cha habari!
Kama hayo hayakuwa magumu kwako basi kwa kijana mwenzio Makonda yalikuwa magumu kwasababu hakuwa na majibu sahihi. Msijifanye mnajua mambo wakati hamjui lolote. Alichofanya Hakimu ni kumwokoa Makonda ili asiendelee kuaibika. Hakuna University yakusomea maswali ya tendo na wakati. Swali gumu kwako ni lile unaloshindwa kulitolea majibu au ufafanuzi. Mfano 1 + 1.
 

Hii kesi ilipaswa ipelekwe mahakama za mwanzo, huko ni kuongeza mlundikano wa kesi ktk Mahakama za juu pasina sababu, hivi kweli Mahakama ya juuu inapoteza nguvu kusikiliza kesi kama hiyo wakati kuna kesi za wa kwepa Kodi na za uhujumu uchumi zina miaka zaidi ya mitano mahakamani?!!! Hii bado ina sikitisha, tunataka rasililimali za wananchi zitumike inavyotakiwa!
 
Mfano “Je, unayajua majukumu ya Mbunge?' Alitakiwa kuulizwa Mh. Kubenea maana hapo ndio kwenye tatizo! Na asingeulizwa kujua wajibu tu bali na mipaka yake!
 
Makonda atakonda mwaka huu.
Bora apelekwe wilaya za rimote
Mie naona AONDOLEWE KABISA kwenyeorodha ya MaDC Nchini. Hafwaiii. Ana kashifa ya kumpiga Mzee Waryoba. Hili peke yake linamwondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Umma ngazi ya DC. Nina UHAKIKA kabisa kuwa NI JIPU la KUTUMBULIWA wakati wa kupanga upya safu ya maDC.....
 
Na Mimi ningehitaji mkubwa niiname nimfunge kamba za viatu vyake ili nikumbukwe kwenye ufalme,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…