DC Makonda abanwa Kortini leo

Kq
Mpumbavu na mjinga sio matusi. Precedent ya sugu vs republic(pinda) ipo kama stare decisis et non quieta movere.

Kama mpumbavu na mjinga ni matusi, basi Mkapa akafunguliwe jalada LA kesi. Maaan kipindi cha kampeni za uraisi Mwaka Jana pale Jangwani alitukana wafuasi wa ukawa kuwa ni wapumbavu na malofa.
Ikumbukwe Mkapa hana kinga kwa makosa anayoyafanya sasa. Katiba inamlinda kwa makosa aliyo yafanya akiwa rais....haya ndiyo hawezi kushitakiwa akiwa madarakani ama hata akitoka madarakani
 
kuandika habari ki ujinga ujinga kiasi hiki ni kuishusha hadhi jf.. Habari imeandikwa utafikiri mwandishi hakuwa na ufahamu juu ya uandishi... Hakuna Swali gumu lolote kati ya Hayo yaliyoulizwa na Kibatala na kwa kuonyesha kwamba umekurupuka mpaka jina la wakili wenu hamjui linavyoandikwa.
 
Ninaimani kubwa sana na Kibatala,

Lakini kesi hii ilipaswa apewe Wakili Nyaronyo Kicheere (nadhani sijakosea kina) Angempelekapeleka Makonda mpaka angejuta kulianzisha na Kubenea

Anyway si mbaya, nimeziona jasho kwa mbali kwenye meno!!!

BACK TANGANYIKA
 
Rolya???

SI ATAACHA KAZI.

HUKO HAKUNA UJINGA UJINGA.


TENA ATAPIGWA NA BINTI-MTOTO WA DARASA LA PILI.
Ndiyo dawa yake huyo maana anajifanya jeuri sana, haiwezekani mtoto mdogo uwavunjie heshima walio kuzidi
 
Yote aliyoyase
Kubenea hakukosea hata kidogo kumueleza ukweli huyo shoe shinner
 
Yote aliyoyase
Kubenea hakukosea hata kidogo kumueleza ukweli huyo shoe shinner
 
SIJAONA MASWALI MAGUMU HAPO...?

HUYU MWANDISHI WA MWANAHALISI ASITUZINGUE!! HAKUNA MASWALI MAGUMU HAPO
 
hayo maswali ya kitoto kubenea hana wakili hapo.. na keshashindwa kesi

chanzo gazeti la kubenea.... lol
Wewe kukufunga ni sekunde tu nimegundua hujui kitu chochote kuhusu mahakama
 
watu wanazungumza mambo ya maana wewe unaleta hoja zako za kipumbaf na kilofa. hebu mbadilike fikra zenu.
 
mkuu wa wilaya boya niliewahi kumuona linapenda publicity kwenye media uchwara wakati halina hata personality ya kuonekana kwenue media afu ukikaa mbele yake kumskiza akizungumza inabidi uwe na mwavuli maana bila hivo utalowa mate uso mzima.
 
Mahakamani pagumu hasa kujibu maswali, kufungua kesi paspo kuwa na ushahid kamili ni shida kubwa. Mfano meli ya samaki wa Magufuli pia gazeti lilo fungiwa paspo utaratibu now wahuska wanatakiwa walipwe fidia. Kwa hyo tuachen utan kwenye suala muhimu.
Ikiwa ni siku ya makonda kujitetea nani anapaswa kujitetea mahakamani mlalamikaji au mtuhumiwa maana naona umetuletea pumba tu hapa.ungepaswa kusema Leo ilikuwa ni siku ya ushahidi ambapo mlalamikaji ametoa ushahidi wake mahkamani kuhusu kesi Flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…