DC Kiteto awatolea uvivu Madiwani

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Mhandisi Tumaini Mangesa amewataka madiwani kutokuwa chanzo cha migogoro badala yake wawatumikie wananchi.

Mangesa ameyasema hayo wakati akizungumza na madiwani kuwa miongoni mwao wamekuwa tatizo katika kuwahudumia wananchi.

Pia amewataka madiwani kuelimisha wananchi ili wasimalize chakula chote kwa kuuza mazao yote.

Aliwataka madiwani kuwa walinzi wa miradi ya maendeleo na hasa akisema barabara nyingi zinaharibiwa na mifugo.

Alisema kazi ya DC sio kuondoa mifugo (ngombe) barabarani nina majukumu mengi.

Kuhusu zana za Kilimo Mkuu huyo wa Wilaya alisema kuna matrekta yatakuja kwaajili kusaidia sekta ya Kilimo

Amewataka kutumia zana hizo kwaajili ya kuongeza tija katika sekta hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…