DC Kiteto atatua mgogoro shambani

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Ilikuwa kama mzaha hivi, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magessa kuamua kwenda shambani kusikiliza mgogoro kati ya mkulima na mfugaji wote wakazi wa Kijiji cha Changombe Kata ya Njoro.

DC Magessa akiwa Kijiji cha Njoro kuelekea Chang'ombe alikutana na mlalamikaji huyo na kumpakia kwenye gari lake kwenda shambani kuona uharibifu.

Wakati huo Mkuu wa Wilaya alijuwa na wataalam wake wa Idara ya kilima na mifugo ambao baada ya kufika walitakiwa kuangalia uharibifu uliotokea kwa kufanya tathmini.

Awali mlalamikaji ambali alikuqa mmoja wa wakulima alimlalamikia Diwani wa Kata ya Njoro Ngaringe Maitey na wenzake kwa kuchunga mifugo yao kwenye shamba LA mkulima huyo.

Hata hivyo baada ya kusikilizwa pande mbili na kutakiwa kufanyika tathmini ya uharibifu DC Magessa aliamuru mkulima huyo kulipwa fidia baada ha mifugo kuharibu zao lake la Ngwara.

Mhe DC sitaki shamba langu likanyagwe na mifugo hata kama halina mazao, hii sio ranch ni shamba langu alisema mkulima huyo.

Hata hivyo baada ya tathmini hiyo DC Magesa alilazimika kusimamia malipo ya kiadi kilivhoharibiwa na mifugo na kuagiza mifugo kutopelekwa kwenye shamba LA mkulima Huyo.

Zaidi ya laki mbili ziliamriwa kulipwa mkulima na wafugaji hao ambapo alisisitiza kuwa hata kama mifugo mingine itapitisha tu hapo ataikamata

Kufuatia hali hiyo Mkuu huyo wa Wilaya aliagiza mifugo kutakanyaga shamba hill kuwa inachangia mmomonyoko wa ardhi na kusababidha uharibifu wa mazingira.

Mungu sio Athmani Mzee huyo analala maskini na kuamka tajiri.

Migogoro mingi ya ardhi Kiteto bado ni changamoto kufuatia wananchi wengi kutojua na wakati mwingune
 

Attachments

  • IMG_20181003_125837.jpg
    82.2 KB · Views: 16
  • IMG_20181003_125845.jpg
    81.8 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…