DC aliyewachapa bakola walimu enzi za JK akafukuzwa, anafaa kwa Magufuli

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,556
22,105
Asalaam aleikum! Wapendwa ktk kristo mpo! wadau hamjambo!

Katika utawala wa JK kuna DC mmoja huko BUKOBA bwana albert mnali aliwachapa Bakola Walimu wazembe waliochangia watoto kufeli kwa miaka kadhaa.

Hilo alilifanya kwenye shule kadhaa huko BUKOBA kabla ya kusimamishwa kazi mtukufu JK, sasa kuna tetesi kuwa Magufuli kamuandalia nafasi afanye nae kazi! Sasa huyu jamaa endapo atapangwa vitengo vyetu tujiandae kujaradia makalio maana itakuwa Full Bakola mwanzo mwisho.

Wakati mipango hiyo ikiendelea wakuu wa wilaya mbalimbali akiwemo DC Ma konda wameendelea kutembea na kasi ya magufuli ili kujihakikishia nafasi katika uteuzi mpya utakaofanyika hivi karibuni.

AWAMU YA TANO NI KAZI TU.
 
Asalaam aleikum! Wapendwa ktk kristo mpo! wadau hamjambo!
katika utawala wa JK kuna DC mmoja huko BUKOBA bwana albert mnali aliwachapa Bakola Walimu wazembe waliochangia watoto kufeli kwa miaka kadhaa, hilo alilifanya kwenye shule kadhaa huko BUKOBA kabla ya kusimamishwa kazi mtukufu JK, sasa kuna tetesi kuwa Magufuli kamuandalia nafasi afanye nae kazi! Sasa huyu jamaa endapo atapangwa vitengo vyetu tujiandae kujaradia makalio maana itakuwa Full Bakola mwanzo mwisho. Wakati mipango hiyo ikiendelea wakuu wa wilaya mbalimbali akiwemo DC Ma konda wameendelea kutembea na kasi ya magufuli ili kujihakikishia nafasi katika uteuzi mpya utakaofanyika hivi karibuni,
............ AWAMU YA TANO NI KAZI TU .................
NNaunga mkono mapendekezo. yako....
 
Tunahitaji utawala wa sheria katika hii nchi. Hatuhitaji watu wenyekufanya maamuzi kama vichaa. Haikuwa sahihi kwa kwa kichaa kuchukua fimbo na kuanza kuchapa walimu. Nitamshangaa sana JPM kama atateua vichaa kuwa kwenye serikali yake, Na ndo maana mtangulizi wake alipogundua jamaa hamnazo akamtosa na kumfukuza.

Labda mirembe wathibitishe kashapona.
 
TENA AWACHARAZE MAAFISA UTUMISHI WALIOKALIA MADAI YA WALIMU, HAWAWAPANDISHI MADARAJA KWA WAKATI, MFANO, Halmashauri Ya Bagamoyo, Wapo Waalimu Wanamiaka Sita Hawajapanda Madaraja, Unategemea Huyo Mwalimu Ajitume Vp? Mwalimu Hana Marupu Rupu , Wengine Wote Wanamarupu Rupu, ASKARI POLISI KILA TAR KUMI NA TANO, ANALIPWA LAKI TATU POSHO YA CHAKULA, MABASI WANAPANDA BURE, JESHI WANAMADUKA YAO YA VIFAA WANAUZIWA BEI RAHISI, Je Mwalimu Ana Marupu Rupu Yepi? AFSA UTUMISHI WAKIKAA VIKAO WANALIPANA POSHO, JE WAALIMU WAKIKAA VIKAO HATA SODA HAKUNA, Unategemea Nini?
 
Sheria za nchi zifuatwe. Kama angewachapa wakati huu wa awamu ya tano si ajabu angeishia jela.
 
Albert Mnali ni mwenyekiti wa ccm wilaya aliyokuwa Mbunge Mathias Chikawe!!!
 
Asalaam aleikum! Wapendwa ktk kristo mpo! wadau hamjambo!

Katika utawala wa JK kuna DC mmoja huko BUKOBA bwana albert mnali aliwachapa Bakola Walimu wazembe waliochangia watoto kufeli kwa miaka kadhaa.

Hilo alilifanya kwenye shule kadhaa huko BUKOBA kabla ya kusimamishwa kazi mtukufu JK, sasa kuna tetesi kuwa Magufuli kamuandalia nafasi afanye nae kazi! Sasa huyu jamaa endapo atapangwa vitengo vyetu tujiandae kujaradia makalio maana itakuwa Full Bakola mwanzo mwisho.

Wakati mipango hiyo ikiendelea wakuu wa wilaya mbalimbali akiwemo DC Ma konda wameendelea kutembea na kasi ya magufuli ili kujihakikishia nafasi katika uteuzi mpya utakaofanyika hivi karibuni.

AWAMU YA TANO NI KAZI TU.

Muwe mnajua nini maana ya utukufu

Huwezi kumuita mtu mtukufu badilikeni
 
U
TENA AWACHARAZE MAAFISA UTUMISHI WALIOKALIA MADAI YA WALIMU, HAWAWAPANDISHI MADARAJA KWA WAKATI, MFANO, Halmashauri Ya Bagamoyo, Wapo Waalimu Wanamiaka Sita Hawajapanda Madaraja, Unategemea Huyo Mwalimu Ajitume Vp? Mwalimu Hana Marupu Rupu , Wengine Wote Wanamarupu Rupu, ASKARI POLISI KILA TAR KUMI NA TANO, ANALIPWA LAKI TATU POSHO YA CHAKULA, MABASI WANAPANDA BURE, JESHI WANAMADUKA YAO YA VIFAA WANAUZIWA BEI RAHISI, Je Mwalimu Ana Marupu Rupu Yepi? AFSA UTUMISHI WAKIKAA VIKAO WANALIPANA POSHO, JE WAALIMU WAKIKAA VIKAO HATA SODA HAKUNA, Unategemea Nini?

Usitake maslahi ya kila kada yafanane, wewe angalia kada yako, wewe huko polisi Na jeshini si ulipaona pagumu, Ukachagua uwalimu. Mbona Wao hawahoji walimu kutolala kazini, Kila kazi Na maslahi take, lilia maslahi unayokosa wakati wengine kwenye idara yako wanayapata.
 
Huu uzi kwa wenye akili za panzi,watafurahi walimu kuchapwa.Ila aneyejua nini maana ya utawala wa sheria atapinga kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom