Kwani kuna jingine jipya zaidi,Ya mibangi na mi cocaine wanayoibwia,hafu wanajifanya hajaaga kwao 'aende akafanyiwe tambiko'.SASA tambiko na Bangi wapi na wapi?
take easy bladaa sio jani la kijani,ni unga na stress za maisha,tokea lini mvuta kaya akawa kicha kama ujui nyamaza mjomba,Nyerere,Kenyatta,aire Selassie ai,Marcus Garvey,Che Guevara,Malcolm x,obama,mbona sio vichaa acha story za vijiweni
kwa kweli ht mm imenisikitisha sana,nilitamn kulia,ana kipaji kikubwa cha utunzi lkn ndo anapotea ivo mdogo mdogo,napata woga vijana wa leo tunaelekea wapi!?wanaoweza kumsaidia wamsaidie hasa crew yake ya daz nundaz.Na haya yt yametokea baada ya kundi kusambaratika,na hata wale wenzake wakasikika wanabwia "bwimbwi".Vijana hebu tuwe na matumizi mzuri ya hv vijisent tunavyoshika lbd bl kutegemea vikatuwehusha.Daz baba nakutakia afya njema,mungu ni mwema ni matumaini yangu atakuokoa.Nipe 5