Umefurahiiiiiii basi
kende
jina lako tu linasadifu upuuzi ulio nao kichwani.
jamani waacheni na maisha yao nyie inawauma nini?
mi nawashangaa baadhi ya wapuuzi kama weee tz kumponda mtu hali kodi yako, juhudi zake ndo zinamtoa huu ni wivu wa kishetani....agrryyyy nisijepata ban bureee...
watanzania hebu tubadilike basiiiii tuache kufuatilia maisha ya watu ambao hata hawali wala kutumia kodi zetu....badala ya kudeal na mafisadi akina.....**** agh..ngoja niangalie kucha zangu ntarudi kukuelimisha wewe
kende