Nilikuwa na units 195 kutoka 191 ambayo ilikuwa matumizi ya mwezi uliopita.We kwa mara ya mwisho unakumbuka mita ilisoma unit ngapi? Ni vema kuweka kumbukumbu za meseji wanazotuma. Hapa nadhani ni misunderstanding tu, watakuelewa sio wezi
Hapa nenda ofisini kwao, utapata muongozo mzuri,Nilikuwa na units 195 kutoka 191 ambayo ilikuwa matumizi ya mwezi uliopita.
Nimepiga huduma kwa wateja hatimae nimewapata, jibu wanalonipa ni kuwa wanaona kweli kuwa matumizi yangu ni constant (hayavuki units 8) ila itabidi nilipie tu hizo units 23 maana zishaingia kwenye record yao ila wata lodge complaint ya kubadilishiwa mita bila taarifa.Hapa nenda ofisini kwao, utapata muongozo mzuri,
1. Kwanini walibadilisha mita?
2. Kwanini hujataarifiwa?
Mods naomba muhariri heading iwe DAWASA na si DAWASCO.
Nimepiga huduma kwa wateja hatimae nimewapata, jibu wanalonipa ni kuwa wanaona kweli kuwa matumizi yangu ni constant (hayavuki units 8) ila itabidi nilipie tu hizo units 23 maana zishaingia kwenye record yao ila wata lodge complaint ya kubadilishiwa mita bila taarifa.
Kwa maana nyingine nikubali kulipia bili ambayo sijaitumia kwa vile tu ishaingia kwenye record yao.
hakuna hata mti wa ushahidi hapo kwangu achilia mbali bustani mkuu.DAWASA=DAWASCO=NUWA Ni kitu kimoja mkuu.
Unit 23 kwa Familia moja ni nyingi sana unless uwe unamwagilia gardeni ,miti 24/7.
Mimi natumia unit 5 mpaka 6 kwa mwezi coz si watu wa kushinda home sana.(wastani wa Dumu 8 mpaka 10 kwa siku).
tatizo hakuna sehemu yeyote ya maana mtu anayoweza kwenda kulalamika. Ikiwa mtoa huduma anakujibu kwa wepesi kabisa kuwa lipa tu maana ishasoma unadhani kuna cha maana gani hata huko ofisini kwao mtu ataambiwa?Huo ni wizi ,hawa jamaa sijui wakoje ,mimi wakati nafunga maji ilikuja bill 321k wakati wa kuja kulipa kwenye control number ikaja 389k.
Hilo jibu walilokupa lina ukakasi mno. Fika ofisini kwao na uombe kuongea na manager wao.Nimepiga huduma kwa wateja hatimae nimewapata, jibu wanalonipa ni kuwa wanaona kweli kuwa matumizi yangu ni constant (hayavuki units 8) ila itabidi nilipie tu hizo units 23 maana zishaingia kwenye record yao ila wata lodge complaint ya kubadilishiwa mita bila taarifa.
Kwa maana nyingine nikubali kulipia bili ambayo sijaitumia kwa vile tu ishaingia kwenye record yao.
Unit 23 ni wastani wa Ndoo 1150DAWASA=DAWASCO=NUWA Ni kitu kimoja mkuu.
Unit 23 kwa Familia moja ni nyingi sana unless uwe unamwagilia gardeni ,miti 24/7.
Mimi natumia unit 5 mpaka 6 kwa mwezi coz si watu wa kushinda home sana.(wastani wa Dumu 8 mpaka 10 kwa siku).
Unit 23 ni wastani wa Ndoo 1150
Sawa na Ndoo 40 kila siku