H Heri JF-Expert Member Joined Aug 28, 2007 Posts 610 Reaction score 520 Aug 24, 2025 #1 Katibu Mkuu - Maji na Waziri Maji, ni karibu mwezi sasa hatuna maji ya uhakika. Mafundi wanadai kuwa mitambo ya maji Wazo ni mibovu na hawajui lini yatapona. Ushauri wanao toa ni kuchimba visima kama unaweza na kuchimbia simtank.
Katibu Mkuu - Maji na Waziri Maji, ni karibu mwezi sasa hatuna maji ya uhakika. Mafundi wanadai kuwa mitambo ya maji Wazo ni mibovu na hawajui lini yatapona. Ushauri wanao toa ni kuchimba visima kama unaweza na kuchimbia simtank.
ApolloShadow JF-Expert Member Joined Jul 19, 2025 Posts 925 Reaction score 1,959 Aug 24, 2025 #2 Hapa nilipo maji yapo. Sema ukiwa unaishi Dar es Salaam, inatakiwa uwe na backup ya maji ya miezi mitatu
Hapa nilipo maji yapo. Sema ukiwa unaishi Dar es Salaam, inatakiwa uwe na backup ya maji ya miezi mitatu
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,901 Reaction score 5,079 Aug 24, 2025 #3 DAWASA MLISEMA KWENYE MSG TAREHE 21/8 KUTAKUA HAKUNA MAJI KWA MASAA 12 MATENGENEZO RUVU LAKINI MPAKA LEO 24/8 HAKUNA MAJI ILALA YOOTE HIVI NINI HASA
DAWASA MLISEMA KWENYE MSG TAREHE 21/8 KUTAKUA HAKUNA MAJI KWA MASAA 12 MATENGENEZO RUVU LAKINI MPAKA LEO 24/8 HAKUNA MAJI ILALA YOOTE HIVI NINI HASA
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,953 Reaction score 5,822 Aug 24, 2025 #4 Niwasanue tu, ikitokea uchaguzi mkuu ukafanyika kama ilivyopangwa tujiandae na mgao wa umeme na maji. Business as usual imerejea
Niwasanue tu, ikitokea uchaguzi mkuu ukafanyika kama ilivyopangwa tujiandae na mgao wa umeme na maji. Business as usual imerejea
N Ngishi JF-Expert Member Joined Sep 17, 2018 Posts 412 Reaction score 671 Aug 24, 2025 #5 Poleni jamani ,yaani Haya mambo huwa yanakera Sana,
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,141 Reaction score 24,563 Aug 27, 2025 #6 Wengine tayar walishapewa khanga , kofa na t-shirt wakachague ccm Mwafrika wake utumwa tu.