Kuna wajuba Maeneo ya Kimara na Kinyerezi wanakwambia Biashara ya kuuza maji kwa Water Bowser imerejea kwa kasi sana, gari mpya canter zenye matanki tayari zipo mtaani za kutosha Watu wanameki money. Mpaaaaaaka mthemeeee
Sio kweli DAWASA sio TANESCO usiwaringanishe kabisa huku hatukosi maji wiki nzima km yatakatika ni masaa tu yanatoka labda usipolipa ndio wanakukatia Ila km unalipa maji unamletea masafi
Sawa na Mbezi Makabe huku maji yalikuwa yanatoka kila siku ila toka dec mwaka jana wakaanza kuyakata wiki hii maji wameyaachia jumatatu tu mpaka leo kukavu na taarifa hakuna.
Vipi hali ikoje? yashaanza kutoka? namba ya mbunge mnayo? ya diwani? ya mwenyekiti serikali ya mtaa? hivi huwa mnadhani zile kura mnazowapa ni za nini? hamuoni uhusiano wa kura zenu na huduma mnazopata? ngoja muisome namba mpaka maji muite maa

Ninakoishi kwa sheria za kipumbavu zilizowekwa na ccm siruhusiwi kupiga kura,mjumbe ni jirani yangu nae nimekuwa nikimsikia akilalamika kama tunavyolalamika wengine.
Hao mbunge,diwani mwenyekiti wa serikali za mitaa sijui nani nao wameunga chain ya kutafuta penye upenyo wa kuiba wapige kwa sababu aliyekuwa na uwezo wa ku-push mambo yakaenda alishaondoka.